Tunaweza kukusaidiaje?

Habari! Karibu kwenye kituo chetu cha Msaada.
Tafadhali andika mada au jina la jambo ambalo unataka kuulizia.

Mipangilio

Moja ya vipengele muhimu katika kufurahia muda wako hapa katika Chat & Date, ni kuanzisha akaunti yako jinsi unavyotaka. Kwa hivyo unaweza kubinya akaunti yako kidogo, na hivyo ndivyo tutakueleza katika sehemu hii.

 1. Naweza aje kuingiza ishara yangu?
  Unahitaji kubonyeza kwa Sign in kiungo wa upande wa juu wa kulia wa ukurasa huu. Kisha ingiza anwani yako na nywila alafu bonyeza kifungo cha “Ingiza mimi ndani!”.
  Je jawabu hili limesaidia? Ndiyo - Hapana
 2. Nimesahau neno langu la siri? Nini cha kufanya?
  Bonyeza kwenye kiungo Umesahau nywila? kwenye Ingiza ishara ukurasa alafu fuata maelekezo rahisi kurejesha.
  Je jawabu hili limesaidia? Ndiyo - Hapana
 3. Nifanye nini kama sijapokea uthibitisho wa barua pepe ya kujisajili?
  Kama umejisajili kwa kutumia barua pepe ya mtandao mwingine kama Hotmail au Yahoo tafadhali angalia folda ya takataka yako kwa uthibitisho wa barua pepe hiyo. Ikiwa hujathibitisha usajili wako ndani ya masaa 24 basi wakati mwingine ukiingia kwenye Chat & Date utaulizwa kuingiza anwani ya barua pepe. Jambo hii likitendeka jaribu kuingiza anwani nyingine ya barua pepe ili uweze kupokea barua pepe. Ukifanikiwa, hii itakuwa anwani yako mpya ya barua pepe ya kuingia. Tatizo ikiendelea basi tutumie ujumbe kusema tatizo lako pamoja na habari zifuatazo: Aina ya browser yako na Toleo (mfano Internet Explorer v6.0), mfumo wa uendeshaji wako (mfano Windows XP) na toleo na mtoaji akaunti ya barua pepe yako (mfano Hotmail).
  Je jawabu hili limesaidia? Ndiyo - Hapana
 4. Nani anaweza kutazama umbo lako?
  Inategemea jinsi vile wewe uko wazi. Katika Mazingira , katika sehemu ya "faragha", kuna chaguzi mbili za kuchagua kutoka: "Mteja wowote" au "Ni Chat & Date wanachama". Haya, usiwe na aibu!
  Je jawabu hili limesaidia? Ndiyo - Hapana
 5. Naweza aje kuacha kupokea maarifa kuhusu shughuli za mawasiliano wangu kwa Chat & Date?
  Bila shaka, enda kwenye Mazingira ukurasa alafu bonyeza “Hariri” karibu na sehemu ya “Barua Pepe”. Zima maarifa yoyote ambayo hautaki kupokea.
  Je jawabu hili limesaidia? Ndiyo - Hapana
 6. Mimi nilifuta umbo langi, lakini sasa nataka kurejesha. Jinsi gani naweza kurejesha?
  Tumefurahi umeamua kurudi! Kuokoa umbo lako lazima ubonyeze kiungo katika uthibitisho wa barua pepe ambayo tulikutumia wakati ulifuta umbo lako. Kiungo hiki kitakuwa halali kwa muda wa wiki 1 tu.
  Je jawabu hili limesaidia? Ndiyo - Hapana